Breaking News

Harmonize Ft Diamond Platnumz Kwangwaru Lyrics

Image result for LYRICS | Harmonize ft Diamond Platnumz Kwa Ngwaru

[Verse 1 : Harmonize]
Hhhhmm!
I wish ningekuwaga na mavumba
Mkwanja manoti
Nikuhonge vya thamani
Ama niwe fundi wa kuigiza ka Kanumba
Masanja Joti usiwe mbali nami
Hhhhhmm
My Darling I need you love
Uwe namii Haki ya Mungu Nakupenda
Nobody can show you love
Usiwaamini ukishawapa wanakwenda

[Bridge : Harmonize]
Ooh! Basi jilegeze
Nikubebe mgongoni (Iyelewi)
Deka nikudekeze nikutunze kama mboni (Iyelewi)
Wakija wapoteze jifanye kama huawoni (Iyelewi)
Kisha Uniongeze ulivyofunzwa unyangoni (Iyelewi)

[Chorus : Harmonize]
Ooh Baby
Asa dance nikuone (Kwa Ngwaru)
Wa Bami Jo (Kwa Ngwaru)
Ololu Femi (Kwa Ngwaru)
Ooh Baby
Asa cheza nikuone (Kwa Ngwaru)
Wa Bami Jo (Kwa Ngwaru)
Basi cheza na mimi (Kwa Ngwaru)
[Verse 2 : Diamond Platnumz]
Aaagah
Moyo wangu wa muarobaini
Mchungu ukiuziwa
Samehe mara sabini
Huo uzungu sija jaaliwa
Ungependa juu ama chini
Kwenye uvungu uparemiwa
Nkumbatie baridini
Kwenye tundu kama njiwa
Moyo wangu mie wa makuti
Usinijie na kibiriti (Hasa weee)
Penzi likageuka chuki
Nyumba ikawa kibiti (Hasa weee)
Nipatie vya kitandani
Nipe mpaka kwenye kiti (Hasa weee)
Ila asiniingie shetani
Nawe nkaja kukucheat

[Bridge : Diamond Platnumz]
Ooh Basi jilegeze
Nikubebe mgongoni (Iyelewi)
Kitandani nikoleze
Kwa miuno ya kingoni (Iyelewi)
Kisha nibembeleze
Nirudishe utotoni (Iyelewi)
Weka mate niteleze
Kama nyoka pangoni (Iyelewi) 

[Chorus : Diamond Platnumz & Harmonize]
Ooh BabyAsa dance kidogo (Kwa Ngwaru)Oh! Wabanwe choo (Kwa Ngwaru)Ololu Femi (Kwa Ngwaru)Ooh! BabyAsa cheza nikuone (Kwa Ngwaru)Wa Bami Jo (Kwa Ngwaru)Basi cheza na mimi (Kwa Ngwaru)[Outro : Diamond Platnumz & Harmonize]Aaagah!Unataka kucheza chura na ingali umesimamaAaah Inama InamaAsa waonyeshe (Ai Inama Inama)Unachezaje (Ai Inama Inama)Unataka maji ya kisima na mboga kuchutamaAaah Inama InamaEbu waonyeshe (Ai Inama Inama)Unachotaje (Ai Inama Inama)Unataka kupiga deki wima umesimamaAaah Inama InamaEbu tuonyeshe (Ai Inama Inama)Unapigaje (Ai Inama Inama)Si unataka vya Pool table sa mbona unajibanaAaah Inama InamaEbu tuonyeshe (Ai Inama Inama)Unalengaje (Ai Inama Inama)Wasafi RecordYeeeeh!Oya wanangu wa kigogo (Aaah Inama)Nipe za Mose Iyobo (Ai Inama)Vunja vunja kidogo (Ai Inama)Aah niongeze mikogo (Ai Inama Inama)