BREAKING NEWS: Mtoto wa Munalove amefariki dunia
Taarifa zilizotufikia muda huu Chastz.com ni kuhusiana na taarifa za kifo cha mtoto wa Munalove aitwaye Patrick ambaye amefariki leo July 3,2018 akiwa nchini Kenya akipatiwa matibabu.
Sababu za kifo chake hakijafahamika mpaka sasa, Rest In Peace Patrick.
Kupitia ukurasa wa instagram wa Zamaradi Mketema
ameandika “Tumejitahidi ila MUNGU ana mitihani yake, mikono inatetemeka ila ndio ukweli, PATY AMEFARIKI!! Pumzika kwa amani baba”