Breaking News

DIVA DIAMOND HANA HELA YA KUNIOA MAHARI YANGU NI MILLION 500


Msanii na mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM, Loveness Malinzi  ‘Diva The Bawse’ akifanya mahojiano na Bongo 255.

MSANII na mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM, Loveness Malinzi  ‘Diva The Bawse’ leo  Jumatano Januari 22, 2020,  amefanya mahojiano na kipindi cha Bongo 255 kinachoruka kupitia +255 Global Radio iliyopo katika jengo la Global Group Sinza-Mori jijini Dar es Salaam.


Katika mahojiano yake amesema anavutiwa na msanii wa Bongo Fleva, Alikiba,  huku akisema anavutiwa na kipaji chake na jinsi anavyofanya kazi zake bila kujitangaza kupitia vyombo vya habari kama alivyozindua msikiti bila kuwaita watu wa  ‘media’.

No comments